Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Kwako Mwifwa

Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.

Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.

Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.

Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.

Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.

Demiss (Cha mdeko)
DUH AISEE,HIVI SIWEZI KUMPIKU Mshana Jr KWA HUYU MTOTO Demiss KWELI DOH....
 
Back
Top Bottom