Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sorry Babu.Yani haka kauzi kanakaribia kumaliza mwezi hakuna mjukuu hata mmoja aliyemsalimia babu?
Ama kweli dunia imebadilika sana...
Ngoja nipande mlimani nikawafanyie maombi...
Nilikuwa kwa Ras Simba to washing my vocabularies ndio maana unaona sijakuwish.
Good morning Babu [emoji137] [emoji137].
I wishing your nice Morning.
Live longing from decade, century to millennium. Liven't he?