fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,809
- 8,032
Huyu mwamba Requelme ukimuangalia kama mzembe mzembe flani ila anavyoitawala midfield sasa.Requelme + Forlan
Villareal yao ilisumbua sanaView attachment 2598833
Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa pamoja na Pavel Nedved uchezaji wao. Miongoni mwa wachezaji bora wa kiungo waliokuwa hawapati sifa stahiki.