Uzi Maalumu: Picha za wanasoka wa zamani

Huyu mwamba Requelme ukimuangalia kama mzembe mzembe flani ila anavyoitawala midfield sasa.
Nilikuwa namkubali sana huyu jamaa pamoja na Pavel Nedved uchezaji wao. Miongoni mwa wachezaji bora wa kiungo waliokuwa hawapati sifa stahiki.
Riquelme nyota ilikuja kuwaka uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…