Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳Ovyoo kabisaa
Pole mpendwa.Nasikia kulia tuu, my Mama anaumwa[emoji20]
Ahsante dearPole mpendwa.
Pole rafiki. Natumai anaendelea vyema now.
Najisikia kujiunga na kikundi cha mwituniUzi maalumu wa kuelezea yanayopitia kichwani mwako yawe matatizo, furaha e.t.c Unajisikiaje leo?
Mimi najisikia uchovu tu nahisi nikipata Safari lager mbili nitachangamka.
Wewe Unajisikiaje?
Ukafanye Nini Tena mwituni na hicho kikundi we kijana?Najisikia kujiunga na kikundi cha mwituni
Kuandaa mazingira ya kupokea watalii
Eeheh! Kwani mstuni Kuna uwanja wa ndege wa kupokea watalii? Au watalii wa kutoka Vietnam?Kuandaa mazingira ya kupokea watalii
Hata bila hela tukiwa na love na tabasamu usoni then we are fine. Nakuelewa.Swali gumu sana,sijui nahisije but one thing is for sure i have the same feelings daily.sio la kufurahia ila bado silaha yangu ni Tabasamu.