Uzi maalumu: Unafanya kitu fulani matokeo yake unakufa!

Uzi maalumu: Unafanya kitu fulani matokeo yake unakufa!

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,717
Reaction score
13,176
Trend iliyoshika kichwa na miguu sasa hivi ni hii ya unakufa!
Mi nadondosha unakufa zangu halafu na wewe weka zako,
1.unamwacha mumeo kisa ana kibamia,unampata mwenye mashine kubwa,anakupiga mashine mpaka inapitiliza kwenye figo,unakufa!

2.umeenda monchuar kutafuta maiti unadondosha hela maiti za kichaga zinafufuka zinaokota hela,unapata presha unakufa!

Lete yako tuione!
Nalog off
 
Unatongozwa na maskini unagoma unampata tajir unamkubal anakuhonga gari unapata ajali UANAKUFA

Unasoma Tourism miaka mitatu, unapata kazi mbuga za wanyama, unaliwa na simba UNAKUFA.

Ongeza mambo mengine yafananayo na hayo
 
Unamtafuta MO, unampata unataka kwenda kuripoti upate 1B, polisi wanakukataza unapata mshtuko UNAKUFA
 
Mnaichagua ccm tena mkijua itajirekebisha mwaka 2023 wanarudia tena makosa wanamteka ngime wagacha wote wanapatwa ña kiharusi wanakufa
 
Back
Top Bottom