Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Hizo printer ndio gharama nafuu sasa haya katafute L850 sasa [emoji3][emoji3]
Hahahha

Sasamku7 mbali na l3110 hakuna model ya bei nafuu ambayo ni mashine imara kidogo.
 
Aisee panya wamekata zile flex cable za ndani pamoja na tube za wino kwenye epson l382.Vipi inaweza tengenezeka hii?
 
Boss wangu anatafuta fundi wa EPSON L850 inatakiwa kufanyiwa service maana inavuta karatasi upande mmoja
 
Msaada Nina Epson nimetoka nayo urope ni EPSON WORK FORCE 3820 nahitaji chiples softwear iwe inatambua REFILED INK nisitumie premier catridged
 
Ndo maana basi L3050 kila nikiibeba huwa inamwaga wino mweusi chini. Itakuwa basi uchafu umejaa hapa.
 
Kwani ina duplex printing? Wanasemaje dukani?
Inaweza kuprint 2 sided, mwanzoni ilikuwa inaprint vizuri tu. Saivi kila nikikomand inaprint page moja kisha inawasha taa nyekundu
 
Inaweza kuprint 2 sided, mwanzoni ilikuwa inaprint vizuri tu. Saivi kila nikikomand inaprint page moja kisha inawasha taa nyekundu
1. Epson l3150 inafanya manual duplex.

Kama ina tatizo jaribu ku-update drivers

2. Tatizo la kumwaga wino mweusi ni winotaka (waste ink) umejaa, tafuta fundi akuwekee drip, iwe inamwaga wino nje kwenye chupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…