Saivi haitaki, yaani ikishaprint page moja then inawasha taa nyekundu, inaleta msg PAPER MISSFEED.1. Epson l3150 inafanya manual duplex.
Kama ina tatizo jaribu ku-update drivers
2. Tatizo la kumwaga wino mweusi ni winotaka (waste ink) umejaa, tafuta fundi akuwekee drip, iwe inamwaga wino nje kwenye chupa.