Saivi haitaki, yaani ikishaprint page moja then inawasha taa nyekundu, inaleta msg PAPER MISSFEED.1. Epson l3150 inafanya manual duplex.
Kama ina tatizo jaribu ku-update drivers
2. Tatizo la kumwaga wino mweusi ni winotaka (waste ink) umejaa, tafuta fundi akuwekee drip, iwe inamwaga wino nje kwenye chupa.
Printer GuiderMsaada wa Epson 3250 resetter
Umejaribu kuisafisha ndani kama kuna vipande vya karatasi au ikigoma fanya reseterSaivi haitaki, yaani ikishaprint page moja then inawasha taa nyekundu, inaleta msg PAPER MISSFEED.
Kwani Epson L3150 inaprint two sides?Ina miezi miwili tu tangu ninunue, nikitaka kuprinti 2 sided inakataa, mwanzoni ilikuwa inakubali
Ukitumia plain paper kwa wingi, head inachoka. Ukitumia gloss paper sana, roller zinakufa. Hizi ni normal use machines tofauti na matoleo mengine. Hii 382 ni sawa na 220 na 210.