Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Ink system failure
 
Wakuu mnao print picha mnatumia settings gani maana mimi kila nikitumia settings zifuatazo natoa picha inakuwa kama na mawimbi wimbi fulani hivi.View attachment 2099880
 
Wakuu mnao print picha mnatumia settings gani maana mimi kila nikitumia settings zifuatazo natoa picha inakuwa kama na mawimbi wimbi fulani hivi.View attachment 2099881View attachment 2099880
Fanya gentle ink charge. Kisha tumia setting za glossy paper, premium glossy paper n.k quality weka standard au high.

But also inategemea umetumia kwa muda gan hiyo head. Vizuri zaid ungeambatanisha picha ya kitu unachoprint.

Enjoy
 
Mkuu settengs nimefanya na nimetumia photo paper glossy, na epson premium glossy lakini wapi.
 
Hizi 31... series ni pasua kichwa. Hapa epson walilipua tu.
Nimesha fiz mkuu nimeenda kwenye settings nikaset more quality nikaachana na high nikasqueez ka mshale alafu nikaprint tatizo halipo kabisa kwa sasa.
 
Nimesha fiz mkuu nimeenda kwenye settings nikaset more quality nikaachana na high nikasqueez ka mshale alafu nikaprint tatizo halipo kabisa kwa sasa.
Baada ya wiki mbili uje na mrejesho umeclean mara ngapi. Ku clean mara kwa mara kunachosha head mapema
 
Baada ya wiki mbili uje na mrejesho umeclean mara ngapi. Ku clean mara kwa mara kunachosha head mapema
Labda hujanielewa mkuu sijaclean ila nilicho kifanya pale kwenye quality wakati wa kuprint picha si unaweza chagua standard, High na more settings, mi sijachagua Standard wala high ila nimeselect more settings kunakimshale unaweza kukusogeza mpaka kwenye more high quality ndio maana.
 
Nimekuelewa mkuu. Maana yake ni kwamba umefanya custom settings. Kifupi ni kuwa, hata high quality option haifanyi vizuri.
 
Nimekuelewa mkuu. Maana yake ni kwamba umefanya custom settings. Kifupi ni kuwa, hata high quality option haifanyi vizuri.
Ndio hivyo mkuu ila saiv nataka niitumie hii printer kwanza alafu baadae nije ninunue L850 aisee, maana printer yenyewe ndio kwanza ina wiki 2 tu.
 
Ndio hivyo mkuu ila saiv nataka niitumie hii printer kwanza alafu baadae nije ninunue L850 aisee, maana printer yenyewe ndio kwanza ina wiki 2 tu.
Kwakuwa tayari unayo hiyo, itakufaa kwenye copping. Nunua l805 kwaajili ya printing tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…