Tatizo sina namba ya voda, sima nitaenda kwa wakala. So haina shida pia ila airtel ndio shavu zaidi
Hata wa vikoba namtaka.hutaki wa BOT?
Faraja ya mapenzi ni kupata mbadala wa anaekupa stress. Nina kaka angu ako DSE very handsome atakufaa kukufariji kipindi hiki
wala hutaki kwani bado hujanitembeleaHata wa vikoba namtaka.
Hata wa vikoba namtaka.
Uwiiii huyo ndiyo mwenyewe.Handsome sana yani anaweza kukupa ugonjwa wa moyo ukiingia dm yake wanavyomsumbua wadada wa mujini
DSE hawana pesa zaidi zaidi atamwongezea stress, kazi zao ni kuamka na kupanga masoko ya hisa yalivyoshuka na kupanda
Akikutumia niambie na mimi niweke aisee357281 Basi ya wakala hiyo hapo dear.. tufarijiane mwaya nisije nikafa bure nikakuachia mzigo wa kumlea anko
Uwiiii huyo ndiyo mwenyewe.
Wewe nipe hiyo DM yake niende nika break internet kama bint Mobetto.
Hapo ataingia kwenye mateso sio faraja Tena aiseeHandsome sana yani anaweza kukupa ugonjwa wa moyo ukiingia dm yake wanavyomsumbua wadada wa mujini
Akikutumia niambie na mimi niweke aisee
Ndio kama hivi ninavyo kurairai tu.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Asante mkuu. Anza basi kunifariji
Hapo ataingia kwenye mateso sio faraja Tena aisee
Atanisaidia kujua watu gani niwakopeshe hela au wapi niwaache ..kwa Yale makampuni yanayokuwa registered kwao.DSE hawana pesa zaidi zaidi atamwongezea stress, kazi zao ni kuamka na kupanga masoko ya hisa yalivyoshuka na kupanda
Pamoja le bid sisterNapambana hivyo hivyo naamini one day nitakua pale nataka
357281 Basi ya wakala hiyo hapo dear.. tufarijiane mwaya nisije nikafa bure nikakuachia mzigo wa kumlea anko
Nakuahidi Mimi nitafanikiwa kumtoa hela. Nitamchuna hadi unionee wivu ujute kwanini uliniunganisha nae.Huyu yeye ni IT. Hela anayo sema labda kutoa ndo inaweza kuwa changamoto.
Haya ndiyo maneno . na uwifi ushaanza.Nitakupa acc yake ya insta wifi ukamchek.
Kachukue pesa yako kwa Mnyeti
Haya ndiyo maneno . na uwifi ushaanza.
Asante wifi.