Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Kwani wabaya ndo hawatesi? Tena hao ndo wanavyojishauaga wakipendwa na mdada mzuri jamani wanaonaga kama wanaown dunia. Mwanaume mzuri mpango mzima.
Hapo ataingia kwenye mateso sio faraja Tena aisee
 
Back
Top Bottom