Atatuma, anaonekana mtu mzito huyo.Atatuma huyu ngoja akituma ntakuringishia
Nakuahidi Mimi nitafanikiwa kumtoa hela. Nitamchuna hadi unionee wivu ujute kwanini uliniunganisha nae.
Hahahhahaha. Unanipa Rai mkuu.Ndio kama hivi ninavyo kurairai tu.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Atatuma, anaonekana mtu mzito huyo.
Ngoja uone asipotuma.
Watiiiiiii!!!! Mzigua90 mrejesho plzzKachukue pesa yako kwa Mnyeti
Atakutimua mbioHahahahahaaa.. ngoja nitokw nje nikachukue. Asante kwa kunifariji
MANENO kuntu walahikuna kipindi nilipataga misukosuko
nilitamani Dunia ipasuke...ilifikia kipindi nilitamani hata nigongwe na gari au kitu kibaya kinipate ili nife but haikuwa hivyo...
ni vile unapita wakati mgumu hata ndugu/rafiki na mpenz wanakukimbia ni hatari sanaaa
tangu hapo sikutaka tena kuamini/kuwategemea watu......
nilijiapiza na Mungu wangu na kuweka ahadi na Mungu wangu
from now nakula mema ya Nchi japo sijafikia but atlest now...naona mwanga mkubwa wa maisha yangu tofauti na kipindi cha Nyuma...
Kuna wakati now nadhani bado nipo ndotoni coz siamini kama ndiyo Mimi ambaye watu walinicheka na kunidhihaki....
hata walionitenga Leo ndiyo wakwanza kuninyenyekea...
nilichojifunza
wakati mwingine Mungu anaruhusu upitie magumu ili akufikishe kwenye kusuidio na sehemu aliyokuandalia...
lait kama wale niliowategemea wangefanya kama nilivyodhani au lait kama baba asingenitelekeza pengine leo "NISINGEKUWA MTU MAALUMU" katika Dunia yetu. ....
Natamani Kushare Nanyi story abt My life
Na nilivyo cute..mbona mambo yatakuwa biyeeHuyu ukimtoa hela utakua hatari. Maana bata utakula kama loteeeee ila hela yake kama kapewa sharti na mganga
I'm waiting for this beautiful & courageous storykuna kipindi nilipataga misukosuko
nilitamani Dunia ipasuke...ilifikia kipindi nilitamani hata nigongwe na gari au kitu kibaya kinipate ili nife but haikuwa hivyo...
ni vile unapita wakati mgumu hata ndugu/rafiki na mpenz wanakukimbia ni hatari sanaaa
tangu hapo sikutaka tena kuamini/kuwategemea watu......
nilijiapiza na Mungu wangu na kuweka ahadi na Mungu wangu
from now nakula mema ya Nchi japo sijafikia but atlest now...naona mwanga mkubwa wa maisha yangu tofauti na kipindi cha Nyuma...
Kuna wakati now nadhani bado nipo ndotoni coz siamini kama ndiyo Mimi ambaye watu walinicheka na kunidhihaki....
hata walionitenga Leo ndiyo wakwanza kuninyenyekea...
nilichojifunza
wakati mwingine Mungu anaruhusu upitie magumu ili akufikishe kwenye kusuidio na sehemu aliyokuandalia...
lait kama wale niliowategemea wangefanya kama nilivyodhani au lait kama baba asingenitelekeza pengine leo "NISINGEKUWA MTU MAALUMU" katika Dunia yetu. ....
Natamani Kushare Nanyi story abt My life
Hongera sana wifi kwa kufarijiwa.Si unaona hapo muamala ushasoma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi ipo mawifi wasivyopenda Kaka zao kutoa pesa , lakini mawif hao hao wakipewa pesa na wanume zao wanajisifu wanapendwa , shida kwel kwel, kumuelewa mwanamke inahitaji elim zaidi ya uprofesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuahidi Mimi nitafanikiwa kumtoa hela. Nitamchuna hadi unionee wivu ujute kwanini uliniunganisha nae.
ThibitishaNa nilivyo cute..mbona mambo yatakuwa biyee
Sio Rai, ni Rairai ama kwa lugha nyepesi vijana mnaita kupetipetiHahahhahaha. Unanipa Rai mkuu.
Noma
Wifi ataleta mrejesho.Thibitisha
Hahahahaha inaumaga maana wewe ukiomba unaambiwa hali ngumu. Mchumba akiomba fastaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi ipo mawifi wasivyopenda Kaka zao kutoa pesa , lakini mawif hao hao wakipewa pesa na wanume zao wanajisifu wanapendwa , shida kwel kwel, kumuelewa mwanamke inahitaji elim zaidi ya uprofesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wifi ataleta mrejesho.
Nidhibitishe kwa kupost picha yangu hapa sio[emoji23]Mmh!! Tunataka wewe ndio uthibitishe, wifi hawezi kukuponda kama itakua ndivyo sivyo.
Maneno matupu hayavunji mgupa