Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Huyu ukimtoa hela utakua hatari. Maana bata utakula kama loteeeee ila hela yake kama kapewa sharti na mganga
Nakuahidi Mimi nitafanikiwa kumtoa hela. Nitamchuna hadi unionee wivu ujute kwanini uliniunganisha nae.
 
kuna kipindi nilipataga misukosuko
nilitamani Dunia ipasuke...ilifikia kipindi nilitamani hata nigongwe na gari au kitu kibaya kinipate ili nife but haikuwa hivyo...
ni vile unapita wakati mgumu hata ndugu/rafiki na mpenz wanakukimbia ni hatari sanaaa
tangu hapo sikutaka tena kuamini/kuwategemea watu......
nilijiapiza na Mungu wangu na kuweka ahadi na Mungu wangu
from now nakula mema ya Nchi japo sijafikia but atlest now...naona mwanga mkubwa wa maisha yangu tofauti na kipindi cha Nyuma...
Kuna wakati now nadhani bado nipo ndotoni coz siamini kama ndiyo Mimi ambaye watu walinicheka na kunidhihaki....
hata walionitenga Leo ndiyo wakwanza kuninyenyekea...
nilichojifunza
wakati mwingine Mungu anaruhusu upitie magumu ili akufikishe kwenye kusuidio na sehemu aliyokuandalia...
lait kama wale niliowategemea wangefanya kama nilivyodhani au lait kama baba asingenitelekeza pengine leo "NISINGEKUWA MTU MAALUMU" katika Dunia yetu. ....

Natamani Kushare Nanyi story abt My life
MANENO kuntu walahi
Endelea kubarikiwa in the right directions walahi
 
I'm waiting for this beautiful & courageous story
 
Nakuahidi Mimi nitafanikiwa kumtoa hela. Nitamchuna hadi unionee wivu ujute kwanini uliniunganisha nae.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi ipo mawifi wasivyopenda Kaka zao kutoa pesa , lakini mawif hao hao wakipewa pesa na wanume zao wanajisifu wanapendwa , shida kwel kwel, kumuelewa mwanamke inahitaji elim zaidi ya uprofesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaha inaumaga maana wewe ukiomba unaambiwa hali ngumu. Mchumba akiomba fastaa
 
Back
Top Bottom