Nidhibitishe kwa kupost picha yangu hapa sio[emoji23]
Ha ha ha hamna namna ya kudhibitishaVyovyote utakavyoona inafaa (primary evidence inamatter sana mahakamani)
Ha ha ha hamna namna ya kudhibitisha
Hahahahaha basi nitaweka picha hapaNdo basi tena statement yako imekosa nguvu, maana hearsay isn't an evidence at all unless corroborated.
Kwahyo hata wifi akituambia bado itabidi atupiemo kapicha
Mfariji wako Niko pemben yako tayarjamani mie ndio nipo kibarazani kbs hapa mnipe faraja na mm kha!
Weekend nitapata wasaaI'm waiting for this beautiful & courageous story
Mfariji wako Niko pemben yako tayar
Hahahahaha basi nitaweka picha hapa
Hebu weka sawa nin hizo zinaingia na kutokaasantesana ..anza sasa kunifariji huenda nikawa sawa maana zinaingia na kutoka
Ndio mkuu..can't wait thisWeekend nitapata wasaa
Nita update story yangu...
hope utajifunza mengi
Hebu weka sawa nin hizo zinaingia na kutoka
Pole , nn mpaka kimepelekea uchoke kufikiria ? Au ndo uchovu wa kazi?[emoji21]akili..nimechoka tu kifikra..nataman kujipa likizo nikapumzike...basi tu
[emoji21]akili..nimechoka tu kifikra..nataman kujipa likizo nikapumzike...basi tu
Napitia katika kipindi kigumu pia, faraja yenu inahitajika wakuu
Ila kuchoka akili acha kabisa
Nimeelewa kwa nini wenzetu husafiri umbali mrefu kutalii
Kuna muda moja haikai mbili haishiki
Asante kwa faraja yako, Mungu ni mwemaPole kiongozi yatapita
Mungu wetu atakupitisha salama rafikiNapitia katika kipindi kigumu pia, faraja yenu inahitajika wakuu
Atakutimua mbio