Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Ila kuchoka akili acha kabisa
Nimeelewa kwa nini wenzetu husafiri umbali mrefu kutalii

Kuna muda moja haikai mbili haishiki

bora umeelewa...nimechooka na kazi zenyewe hizi😤nmepata opportunity fulan ila.moyo mzito kidrop kibarua...bas nipo kama sipo
 
Back
Top Bottom