Nope ...nimeuliza tuMbona umejistukia? 😛😛
aisee we jamaa usinifananishe na huyo jamaa Muoga.Asante Babu Okonkwo[emoji23] [emoji23]
Huku Ushirombo hatunaga familia za kishua mkuu, hasa sisi wenye tunaishi kwa shemeji zetu ndio kulala wa mwisho na kuamka wakwanzaMtoto wa kishua acha uzushi...
Linakukumbusha wapi mkuu? Sema tu, haidhuru.
hahaaa. Naam, hakunaga attachment kwenye 1NS.One night stand
No string attached
I just miss that night
Njoo kwangu utateseka tenaNa mimi ninayeteswa na mapenzi naombeni mnifariji.
AmeenMwezi wa 9&10 ni miezi iliyokua migumu kwangu..yani kuna muda nikawa najiuliza au nimekua invisible!! Nilikua ni mtu wa kujifungia tu ndani na kujiuliza maswali mengi mno..kuna muda nilitamani nikilala nisiamke.
Ila nikasema siwezi kujikatia tamaa namna hii...nashukuru sasa angalau nipo vizuri
Namshukuru Mungu kwa nilivyo sasa
kuonana ni ngumu hatuishi karibu wala sehemu moja!Inabidi tuwe tunaonana ndio tutafarijiana vizuri, kufarijiana kwa miandiko ngumu
Shukran...Pole wote mnaouguliwa, poleni wote mliofilisika komaeni ipo siku mtainuka tu,
poleni mliodanganywa kimapenzi kisha mkaachwa poleni ila mjikaze mtapata wenzi wengine walio wema kwenu,
poleni wote ambao mabosi wenu wanawanyanyapaa kazini jipeni moyo na kujipanga jinsi ya kupata mtaji wa kujiajiri,
poleni wahitimu wote ambao kwa muda mrefu hamna ajira au mmepata ajira ambayo kipato chake ni kidogo sana kiasi kwamba ukipata pa kutokea utakimbia bila kugeuka nyuma.
Poleni mliofiwa,
poleni mliotumbuliwa siku si nyingi mtapata kazi nyingine.
Poleni sana.
Kuonana sio lazima muwe sehemu moja mkuu japo nimekuelewakuonana ni ngumu hatuishi karibu wala sehemu moja!
sumbai. anakutesa?Na mimi ninayeteswa na mapenzi naombeni mnifariji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku Ushirombo hatunaga familia za kishua mkuu, hasa sisi wenye tunaishi kwa shemeji zetu ndio kulala wa mwisho na kuamka wakwanza
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Na mimi ninayeteswa na mapenzi naombeni mnifariji.