uzi maalumu wa kuisifia nchi yetu tanzania kwa nyimbo na mapambio!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
waheshimiwa mabibi na mabwana
sasa imefikia wakati wetu!
wa kuisifia nchi yetu najua wengi kwa namna moja au nyingine wamekuwa sio wazalendo wa nchi yao kwa mambo yanayoendelea!
mbali na hapo nchi yetu ina mambo mengi murua huwezi kuchukia yote mengine yasikupe furaha.
embu kwa pamoja hata kama wewe ni msela,mzee,mjanja wa town,mwizi,tapeli,polisi,changu bado kuna vitu vinakuvutia katika nchi yetu tanzania labda unavijua au huvijui lakini vipo.naomba japo utiririke maana najua kipo kimojawapo.

kwangu mi napenda hii amani yaani unaenda popote unafanya chochote ikiwa huvunji sheria za nchi inakuwa safi sana!hapa nagonga vyombo na askari wanatulinda tusigombane raha ilioje hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mh rais, nchi sasa inaviwanda kila kona na uchumi wa kati kwa watanzania

"mwanaume mashine"
 
Enheee Tanzania yangu nakupenda .
Hatimaye Season yetu ya BASITE: The Prince from kolomije imefika mwisho kwa His majesty Magunchogo kuwakutanisha mahasimu wakubwa wa Guguryeo
 
Ni ngumu sana kusifia mkuu. Huwezi kuimba nyimbo ya furaha wakati una huzuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…