Uzi maalumu wa kujifunza ku upload picha za GIF

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Merry Christmas in advance to all JF members.

Kabla mwaka haujaisha,nimeona itakua vizuri zaidi niki share ka ujuzi kadogo kama asante ya kuuona mwezi december 2017 wa kusaka na ku upload picha za GIF humu JF

Ingia google kisha type neno mfano flower kama hivi(pichan).kisha chagua neno picha.


Kisha chagua neno gif,hapo utakuta picha nyingi zina alama GIF.,chagua zenye neno GIF

Click moja wapo ya picha hizo kisha subiri icheze kama hivi


kisha click hapo hapo (kwenye hio picha)itakuja menu isemayo download image\save image chagua hapo utakua umeidownload picha

Jinsi ya kuileta picha JF
Click hapa kwenye alama nyekundu

Kisha itakuja hivi,ukibonyeza neno choose file italeta hio menu fata gallery kisha chagua picha yako fata maelekezo utakayoyaona hapo ili ije JF

Kisha ili picha ijae chumba cha message kabla ya kuisend bonyeza full image

Karibu ujifunze ujanja huu na weka picha yoyote ya GIF hapa bila kusahau kuwaelewesha ambao hawajaelewa somo. Be freeeeee
 
Sijaelewa bado... Mkuu
 
Habari
"Numbisa"
Salute madame
Elimu nzuri kabisa..πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…