Uzi maalumu wa kujifunza ku upload picha za GIF

6Erorf
 
Ahsante sana my dear. Huwezi amini zaidi ya nusu saa nahangaika na hii kitu.

Ila Mwalimu wangu upo juu aisee. Be blessed.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Waaow my dear. Shukran too
Nilivyoona huu uzi nikakumbuka ile tuition ya siku ile. [emoji12] [emoji12].

Ulipataje shida ila mwishowe mwanafunzi akaelewa. Hahahaaaa.

Hongera zako teacher wa emmy.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hahahhaa ualimu ni wito basi tu sikujitosa huko kwenye fani ya wenyewe ila haka ka ujuzi kanasaidia kweli hasa vipind vya sikukuu na wishes mbali mbali

asante sana mwanafunzi wangu hahahah

Kweli kabisa rafiki. Na umeuanzisha kipindi kizuri sana aisee.

Have a good day mumy.
 
Back
Top Bottom