Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Habari wana Jf.
Katika maisha kuna vitu vinakuja na kupotea,
Kuna watu wanakuja katika maisha yako na kutoweka.
Kuna watu mlizoeana kipindi fulani lakini ghafla mmesahauliana. (Bila ugomvi).
Yawezekana mlikutana katika mada Fulani mfano siasani ( enzi za kampeni) au katika sakata lolote.
Au ulipotezana na rafiki yako hata nje ya Jf na umemkumbuka na haujui utampataje.
Chukua nafasi hii kum tag, kuonyesha ni namna gani unamjali bado na ume miss kipindi hicho.
Ndugu yangu Avatar mok ni kitambo sana ila nimekukumbuka sana.