Uzi maalumu wa kukumbuka marafiki mliopotezana au kusahauliana.

Uzi maalumu wa kukumbuka marafiki mliopotezana au kusahauliana.

Habari wana Jf.
Katika maisha kuna vitu vinakuja na kupotea,

Kuna watu wanakuja katika maisha yako na kutoweka.

Kuna watu mlizoeana kipindi fulani lakini ghafla mmesahauliana. (Bila ugomvi).

Yawezekana mlikutana katika mada Fulani mfano siasani ( enzi za kampeni) au katika sakata lolote.

Au ulipotezana na rafiki yako hata nje ya Jf na umemkumbuka na haujui utampataje.

Chukua nafasi hii kum tag, kuonyesha ni namna gani unamjali bado na ume miss kipindi hicho.

Ndugu yangu Avatar mok ni kitambo sana ila nimekukumbuka sana.

Girese mutalemwa gangiilonga primary school
 
Dah... Angela..popote ulipo. Tulikutana pale Tabora kwenye Mkutano Mkuu wa TYL, Tarehe 16 mwezi Julai, 1956....Ujue busu lako bado limeniachia ganzi hadi leo shavuni.... Na ujue bado nakupenda [emoji13] [emoji13]

Hatar[emoji1][emoji1][emoji3][emoji3]
 
My twin. everlenk nakukumbuka sana atii.
pwilo
@piterchoka
Abou Saydou
Bailly5
Diva Beyonce
AdvocateFi
Ms.Lincoln
unanitaka
My Dada espy
Nifah
Bila kuwasahau majirani zangu,
data ulinipa tabu wewe.
BansenBurner ha ha ha ukanichora katuni.
Kidingi ulikuwa mnokho ..
kende
kedrick ha ha ha muuza njiwa ( usinune sasa)
sumbai ulikuwa kuna siku Yes siku nyingine no. Haha haha
Viol upo wapi siku hizi?
Manga ML Mume ya atoto enzi hizo..( umemficha wapi atoto?)
Jamani mpo wengi sanaa .
Nawapenda siku zote.
Nimekumbuka enzi zetu ..( utoto raaaaaaaha)
Hahahaaaaa!! Umenikumbusha muuza njiwa lol!!
 
uhuru-main.jpg
 
Back
Top Bottom