Rukia Jamal nmekukumbuka sana rafiki wa shule ya msingi Kongwa,nakumbuka tuliachana mwaka 2004 ambapo mi na familia yangu tulihama mkoa,cjawahi tena kurud huko lakini miaka yote umekua akilini mwangu....
Cjui whereabouts zako...
Kama upo humu npm tafadhali,nakumic sana rafki angu kpnz,hasa nkimc some moments ambazo tulishare pamoja....
Ni mimi rafk ako @adamjunior93