Uzi maalumu wa kuombana msamaha

Uzi maalumu wa kuombana msamaha

Kuna kachalii kaliongea utumbo nikakajibu vibaya mpaka four months mbele kanaliaga tu, sema nimekasahau natamani kaniquote tena nikarekebishe tabia.
 
Asprin,

Huyu simuachi hata usemeje!nimekuchoka aseee kila siku kunibadilishia
 
Wewe mbwaa nilishakusamehe kabla ya kuniomba msamaha.
 
Back
Top Bottom