Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Dec 1, 2019 #41 Kuomba na kutoa msamaha, kwenye account ni kama ku write off.... Huna haja ya kubeba bad debts mwishoe ikaonesha unatengeneza hasara kwenye financial statements in a cartein period ,samehe au omba msamaha kwa AMANI yako na yake mioyoni mwenu
Kuomba na kutoa msamaha, kwenye account ni kama ku write off.... Huna haja ya kubeba bad debts mwishoe ikaonesha unatengeneza hasara kwenye financial statements in a cartein period ,samehe au omba msamaha kwa AMANI yako na yake mioyoni mwenu