Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Ina maana hakuna hata mdada anae nizimikia humu ndani?
 
Shikamoo yako siitaki, uanataka kuninyima nini?ila kiukweli nakuelewa sanaaa
Hahhaha jamani itikia tu kwani kukupa shikamoo ni kukunyima kitu asante sana kwa kunielewa mkuu wangu ubarikiwe sanaaaa [emoji7][emoji7]
 
Kipenzi cha moyo wangu...vladimirovich putin mwanaume pekee nikupendae..umenikamata nimekamatika..nimezama kwako mazima..kwako sisikii wala siambiwi..na unavyoniweza kwenye mambo yetu yale...[emoji131][emoji177] ..[emoji3] nakupenda leo kesho hadi mtondogoo..[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Wew muandiko wako unafanana na wa Jolie Jolie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…