Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Sakayo[emoji8]
Unajua vile nakuzimikia, fungua mlango basi niingie...[emoji39]
Kama huwezi kuniambia basi sema tu nijue, niende nikauguze kidonda changu mama[emoji39]
Siwezi kukuambia nini my Eli79!!
Wewe unaujua moyo wangu kuliko mtu mwingine yeyote!!
Aione Shunie kwa kumbukumbu zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha
Ondoa shaka!!!
Woooooooooozeeeeeerrrr niko hapa shem wangu
 
Back
Top Bottom