Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

Mkuu the thing was real na watu walipewa zawadi zao na wala sisi mapromota hatukuambulia hata senti 5...

Lakini tungekuwa na tamaa na ulafi wa fedha pengine leo hii tungelikuwa tunatumia IDs nyingine...
Irudisheni tena basi au niaje
 
Mimi naomba assist ya kupata kazi. Nina degree moja. Na uzoefu wa kazi miaka 3.
Kazi yoyote nitafanya ikipatikana.
Details zaidi nitakupatia ukijitolea kuniassist.
Kazi za ndani uko tayari kufanya?
 
Yani Raimundo katusahaulisha makinikia hivihivihi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani leo katuweza kila nikikaa nikikumbuka nacheka [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…