lynne
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 897
- 1,182
Hahahaha [emoji23] [emoji23] nahitaji assist niache kucheka maana kila nnakopita leo nakutana na hili neno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]in which part mrembo
Kama makinikia vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha [emoji23] [emoji23] nahitaji assist niache kucheka maana kila nnakopita leo nakutana na hili neno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]in which part mrembo
Hahaaa. Usijali my wi. Utapata assist [emoji124] [emoji124]Hahaha
Hebu mnipe tu assist mie nikomboe matoroli yangu
Umeonaee. Hao wanaovaa suruali wasitegemee tena kupata assist my wi.Imani imepunguua
Niko serious ujueHahaaa. Usijali my wi. Utapata assist [emoji124] [emoji124]
KabisaaUmeonaee. Hao wanaovaa suruali wasitegemee tena kupata assist my wi.
Mpaka tujiridhishe kwanza
Yani Raimundo katusahaulisha makinikia hivihivihi.Hahahaha [emoji23] [emoji23] nahitaji assist niache kucheka maana kila nnakopita leo nakutana na hili neno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama makinikia vile
Tumebakia kwenye assist sasa. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yani Raimundo katusahaulisha makinikia hivihivihi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Irudisheni tena basi au niajeMkuu the thing was real na watu walipewa zawadi zao na wala sisi mapromota hatukuambulia hata senti 5...
Lakini tungekuwa na tamaa na ulafi wa fedha pengine leo hii tungelikuwa tunatumia IDs nyingine...
Kazi za ndani uko tayari kufanya?Mimi naomba assist ya kupata kazi. Nina degree moja. Na uzoefu wa kazi miaka 3.
Kazi yoyote nitafanya ikipatikana.
Details zaidi nitakupatia ukijitolea kuniassist.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani leo katuweza kila nikikaa nikikumbuka nacheka [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Yani Raimundo katusahaulisha makinikia hivihivihi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sidhani kama itaweza kurudi tena kila zama na enzi zake...Irudisheni tena basi au niaje
Ni mavune kaka sio mavuno[emoji1] [emoji1] [emoji1] hayo mavuno yatakuwa salama mbele za allah kweli? [emoji1]
Una bei gani ya Ku ASSIST showMshana Jr...The Bold....naombeni mnipe assist kumpata Mahoundaw...
Kidogo nyie wakongwe humu...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Akii jf sio watu wazuri jamani ndo washajipatia msemo chaa[emoji23] [emoji23]
Mkuu, there is a bottle of WINE if you don't mind...Una bei gani ya Ku ASSIST show