Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

unakumbuka ule mshike mshike wa nguvu last competition kati ya my wife wangu na my wife wake Arushaone, yule daktari. haikuwa rahisi kabisa...
I remember every moment bro utadhani ilikuwa jana vile...her name was Lady Doctor...watu wamepotea sana hata sijui yupo wapi
 
Wakuu amani kwenu naomba mwenye kuni Assist kama laki sita na nusu (650k) niongezee na yangu kuna mshkaji jirani yangu anauza Engine ya Boing 777-200LR, GE90-115B ndani ya siku kumi nakuwa nimesha mkabidhi mzingo wake.....

Nasubirieni PM zenu kwa wingi tafadhani...

NB Mods naombeni hii thread msiunganishe na nyuzi nyingine tafadhali....
 
Okay basi mie nilidhani wewe ndiye muasisi wa hili neno hapa jamvini, kumbe ni Raimundo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Raimundo ndiye aliyekuwa akilitumia wakati wa kufanya utapeli wake.

Mimi nimelikuza tu huku mwajukwaani...ila muasisi ni mzee baba [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie sitii neno lol!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Raimundo ndiye aliyekuwa akilitumia wakati wa kufanya utapeli wake.

Mimi nimelikuza tu huku mwajukwaani...ila muasisi ni mzee baba [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom