Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

Uzi maalumu wa kupeana "Assist"!

Dah "assist "haijawah kumwacha mtu salama, ila sio case mwendelee kupeana assist
 
Mimi naomba assist ya kupunguza jam hapa jamvini
 
Mi nahitaji kijana wa kike kwa ajili ya kuniuzia duka la nguo.

Sifa:Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea,mwaminifu,asiye na tamaa na mali zisizo zake,ambaye hajazaa,awe tayari kufanya kazi Dodoma mjini.
Sifa za ziada:Awe mzuri kimuonekano,awe mchangamfu kwa wateja,anayejipenda mwenyewe na awe muumini wa dini yoyote

Malipo:Mshahara ni mzuri kumuwezesha kijana kuishi vizuri na yatafanyika kupitia account ya kila mwezi

Kwa aliyetayari nipm
 
Back
Top Bottom