Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Wakuu natafuta sehemu wanayouza polish, wax na air freshner kwaajili ya magari kwa bei ya jumla
 
VIWANJA GOBA KWA AWADHI.

-Ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana.
-Ni karibu na shule ya Castle Hill na karibu pia na sheli ya Mchigani.

-Umbali ni 600m kutoka barabara ya lami.
-Viwanja vimepimwa.
-Neighborhood yake inavutia kwa kweli.

-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Bei yake ni 50,000 kwa square meter moja.
-Ni mahali pakununua na kujenga sasa.

PIA TUNA VIWANJA
🎄 Vikindu 1.3 M
🌲Kibaha pangani 2.4M
🌳Kibaha karibu na stend ya Loliondo 4.8.m
🌿Mbweni 12M
🍀Kigamboni gezaulole 6.8 M
🌳Kigamboni Kisarawe II 8M

NJIA ZA MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 3_6

#SITE VISIT ni KILA SIKU.
Contact:
📞 0762815104
WhatsApp 📞 wa.me/255762815104
KARIBUNI SANA 🙏
 
CCTV INSTALLATION

Kwa anaye htaji kufungiwa camera sehem ya biashara au nyumban kwake
Info:
0686520133
 
Kwa mahitaji ya Vitabu vya risiti,invoice,delivery note na vingine vyote size zote kwa bei nafuu..karibu 0766 597 157/ 0653 970 936
 
Hello naombeni nope we connection ya wanaohitaji kuprintiwa na kubindiw vitabu kwa ajili ya biashara,viwanda ,makampuni kama vile order book,invoice,delivery note,receipt...kwa bei poa kabisa..location Kariakoo simu 0766 597 157/0653 970 936
 
Habari wjamvi, Natafuta mtu kutoka mwanza mwenye uzoefu wa kwenda Uganda, Kampala kibiashara nahitaji kwenda kujumua vitu vya uremno, nijulishe tafadhali.
 
BIASHARA YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni mmoja wawatu wanaofanya biashara ya library ya movies,hii biashara ukiwa makini inafaida sana kwa siku unaingiza kipato kinzuri tu,changamoto ya biashara,sio kubwa kama biashara nyingine unaweza kuziepuka ..
 
Naitaji frame ya kuuzia chakula,chips na vinywaji eneo la Bunju B sokoni. Naomba connection kama unayo au dalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…