Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Bei yako?Kwa mahitaji ya asali kutoka Dodoma, kiasi chochote ninayo ya kutosha na natuma mikoa yote, njoo PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei yako?Kwa mahitaji ya asali kutoka Dodoma, kiasi chochote ninayo ya kutosha na natuma mikoa yote, njoo PM
Kiasi gani unatakaBei yako?
Karibu dukani kwetu mabibo mwisho. Pia tunaeza kukufanyia delivery kwa Dar es salaam. PM ipo wazi nduguWakuu natafuta sehemu wanayouza polish, wax na air freshner kwaajili ya magari kwa bei ya jumla
HelloNatafuta connection ya kuuza mchele kwa bei ya jumla.gunia la 100kg ni 110,000.
Mzigo upo morogoro.
Nichek MkuuHabari wakuu?
Natafuta goli la kuanzisha biashara ya chips dar es salaam.
Kodi ya mwezi mmoja kwaajili ya dalali ipo.
Nime ku PM mkuuNichek Mkuu
Kwa mahitaji ya Vitabu vya risiti,invoice,delivery note na vingine vyote size zote kwa bei nafuu..karibu 0766 597 157/ 0653 970 936Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Weka namba y simu mkuuNanunua karatasi za A4 lim paper zilizotumika kwa kilo. Njoo na ofa yako. Hii ni kwa wamiliki wa vyuo kama mnayo instead of dumping let us make a deal.
Hello naombeni nope we connection ya wanaohitaji kuprintiwa na kubindiw vitabu kwa ajili ya biashara,viwanda ,makampuni kama vile order book,invoice,delivery note,receipt...kwa bei poa kabisa..location Kariakoo simu 0766 597 157/0653 970 936Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Naitaji frame ya kuuzia chakula,chips na vinywaji eneo la Bunju B sokoni. Naomba connection kama unayo au dalali.Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali katika dunia hii, wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kutokuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.
Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.
Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Mkurungu na MningaMkurungu unavunia wapi na upatikanaji wake Uko je?
Kiasi ganiNahitaji mayai ya kisasa.. Nipo kimara
0745098591