fredrick polepole
Member
- Aug 11, 2021
- 18
- 10
Ukihitaji taarifa nyingine na ukiwa na connection tujulishane
mkuu weka bei kwa kila GRADE ya karanga kuanzia nyekundu hizo na nyeupe
Mi nataka wafanyabiashara wanaoleta huku huku kabisa ili kupunguza gharama za madalaliMi nipo mbeya ...mahindi yapo hapa.....ila kuplka dar niww baada ya kununua usafir upo all the time
Naomba kujua bei ya dar, ili nipige hesabu.Mi nataka wafanyabiashara wanaoleta huku huku kabisa ili kupunguza gharama za madalali
Kiasi gan? na kwa bei gan?Nahitaji mashudu ya alizeti. Mwenye kuweza kuniunganisia karibu inbox
Nikitaka camera tatu tu ujiungie kwenye smart phone inacost ngapCCTV INSTALLATION
Kwa anaye htaji kufungiwa camera sehem ya biashara au nyumban kwake
Info:
0686520133
Haya yanaitwa Rose coco beans kwa ranging hiyo yanapatikana sana Arusha na babati.Na mzigo wa aina iyo rangi nyekundi huko Dar tayari mzigo tani 30 ,bei 1,950 per kg.Haya maharage yanapatikana kwa wingi mkoa ganiView attachment 1969211
Ninayo unanunuaje kwa kilo??? Zinafika tani 50Haya maharage yanapatikana kwa wingi mkoa ganiView attachment 1969211
Kwani kuna ufuta tofauti na mweupe mkuu?,Tafuta ufuta mweupe tufanye biashara,zinahitajika tani 100.
Sijui kwanini karanga za ukanda wa kati zinakuaga na ukunguSingida wilaya ya Manyoni
Mwnye hii connection tafadhali share nasi wenye uhitaji na soko hasa la KenyaHabari,Naitwa Fred naitaji connection ya biashara ya asali kuuzia kenya asali yangu ni ya Singida
Boss yako nyuki wadogo?Mie niko Singida asali yangu ni ya Tabora na Singida ni nzuri sana tuwasiliane
Tani 40Mi natafuta wauzaji wa mahindi wanaotoa mkoani kuleta Dar
Nimekuchek pm hukoHabar,Naitaji connection za zao la karanga,karanga zangu ni kutoka mikoa ya Tabora na Singida.karanga rangi ni nyeupe kwa mwenye kujua soko tafadhari ni pm nitakucheki
Nipo moshi pia nahitaji hii aina hii ya mbeguNahitaji mbuzi wanao zaa mapacha nipo Songea