Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mzee baba taarifa zote muhimu ziweke hapa kwa faida ya wote.

823D3DA8-4769-427E-9886-EA345FD6F586.jpeg


881AAB14-421A-4001-835C-B60F376394EB.jpeg


341C1AA8-3B32-44D5-8BCF-CE6EEB3CE09E.jpeg


69AABEC3-7E22-4238-B0F7-019C850664F2.jpeg
 
Mi nipo mbeya ...mahindi yapo hapa.....ila kuplka dar niww baada ya kununua usafir upo all the time
Mi nataka wafanyabiashara wanaoleta huku huku kabisa ili kupunguza gharama za madalali
 
Biashara ya samaki wabichi, kununua kutoka kwa wavuvi (hasa bagamoyo) kwa mfumo wa ndoo na kupeleka sokoni au.kwenye maduka makubwa ya samaki.
Nataka niifanye hii kwa ukubwa.

Naomba mwenye uzoefu kwa hapa Dar anijulishe.

DM iko wazi.
 
Mi natafuta wauzaji wa mahindi wanaotoa mkoani kuleta Dar
Tani 40
Ziko godown Handeni
Tunauza zote kwa pamoja
Usafiri wako ila bei kwa gunia (Kilo 108) tutakufanyia 35000, ni kwa wiki hii tu.
Njoo unakagua mzigo mwenyewe.
Hakuna udalali, inbox me
 
Back
Top Bottom