Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ipo nicheki 0627518825 inakaanga kuanzia kg 4 kwa Dakika kumi na tano Inatumia gesi
 
Habari za Leo wanafamilia?

Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram 200 - 400 kwa samaki mmoja. Tunapokea oda za watu wa majumbani na wa biashara.

Tunapatikana Mnazi Mmoja Dar.

Kwa wakazi waDar Unaletewa Popote ulipo Bure.

0624 7400 12.

Tunaomba Connection ya Masoko Zaidi






 
Kwa fundi seremala au anaeshughulika na masuala ya mbao,ninauza mashine (used).

Ipo mashine ya kuchana mbao,imported msumemo hadi inch 26(ina uwezo wa kuzalisha magogo).
Bei ya mashine ni milioni 8.


Ipo mashine ya kutobolea madirisha ya mbao (drill).
Bei ya mashine ni milioni 2.


Ipo mashine ya kuranda mbao,WadKins planer inch 28(upana).
Bei ya mashine ni milioni 11.

Mashine zote zipo katika hali nzuri ya utendaji wa kazi.

Mashine zipo Dar es salaam-Temeke.

Mawasiliano 0688 055 606 au PM.
 
Weka vipimo kwa metre bwana
Kabisa, ft ni imperial na hutumika USA, Tanzania na nchi nyingi tunatumia Metre hizo feett huwa watu hawaelewi hata kidogoo.

Na huwa ni ndogo mno, kwa 80ft ni kama 24m,
 
Kabisa, ft ni imperial na hutumika USA, Tanzania na nchi nyingi tunatumia Metre hizo feett huwa watu hawaelewi hata kidogoo.

Na huwa ni ndogo mno, kwa 80ft ni kama 24m,
50 kwa 40, ni kama 15m kwa 12m kiwanja kidogo mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…