jumakiuno
Member
- Jul 25, 2017
- 70
- 53
Ipo nicheki 0627518825 inakaanga kuanzia kg 4 kwa Dakika kumi na tano Inatumia gesiNaombeni Kujua Hivi Kuna Mashine maakumu za Kukaangia Karanga?? Kama kuna aliye wahi pata mashine hiyo anipe uzoefu wake tafadhali
1. Je nibei gani kinunua?
2. Ina uwezo wa Kukaangia kiasi gani kwa siku ?
Je ina uwezo wa upande wa Kufungashia karanga(packaging)
Asante