Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Therealjoh.kabla ya kuweka bei ya kitu fanya kwanza uchunguzi hiZo bei unazoweka zinalandana na thamani ya kitu chako.??? Umeweka hiyo mashine ya milion 8 wakati kuanzia mil 3 hadi 5 unapata.! Je umewalenga wateja gani ambao cha juu ni milion 3 nzima.???? Je ww ni dalali au mtu wa kati ??? Bei ni juu sana .unatakiwa kuomba radhi kwenye jukwaa mana umeona watu wote ni mbumbumbu.!!!!!!!!!!!! Hata hao kct team hiyo bei hapo watakushangaaaaaaaaaa ......

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Pia kabla ya kuzungumza kitu jitahidi ufanye research kidogo.
Jitahidi kujua mashine ni za wapi (manufacturer/made in),kwa kukusaidia tu ndugu hizo sio mashine za kuchonga ambazo nadhani ndizo ulizozizoea.

Pia mimi sio dalali.

Usikariri bidhaa kwa kuiona tu,jitahidi kujua ubora wa bidhaa kabla hujaamua kuitolea ufafanuzi.(karibu kama utahitaji kujifunza zaidi juu ya hizi mashine)

Pole kama utakuwa umekwazika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hiyo team ulioitaja ni balaa kwa bei ila huyu kawafunika
 
Naomba kujua wale machinga wanaopanga viatu vya kike pale mwenge hua wanavitoa wapi maana hua wanauza elfu tano ikizidi sn elfu 10 so naitaji kufata mzigo nami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…