Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

𝑁𝑎𝑡𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎 ℎ𝑖𝑖 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎 𝐺ouging 𝑅od 𝑚𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑛𝑎𝑦𝑜 𝑎𝑛𝑖𝑐ℎ𝑒𝑘𝑖 𝑖𝑛𝑏𝑜𝑥

 
Ninatoa huduma ya massage kwa akina dada/mama. Ni mobile office unaniita popote utakapo. Either full or half Tsh 30,000 for half an hour and Tsh 50,000 one hour. I am a male.

Dar.
Nice idea Bob...

Learn the tricks of the trade uwe a professional masseuse

Tumia social media vizuri, have accounts on IG, escort sites etc.
 
Ungekuwa dodoma ningekupa
 
Wanaohitaji nguo nzuri za mtumba grade one na premium tuonane. Duka lipo Ubungo Mawasiliano. Mikoani pia tunatuma
 
Safety Boot forsell, Size 44. Price 40,000/= TABATA KIMANGA.[emoji3513]0658111898
Mpyaaa...![emoji3067][emoji3067]
 
Naitaji anayetaka kufanya biashara yaukopeshaj vibar nautaratibu upo nina kampun kabisa nafany iyo biashara rakin wateja wananizidia
Nipe information zaidi inbobo tuyajenge
 
[emoji2765] .: Habari?
[emoji2765].: Meza ya alminuam inauzwa laki moja... Ipo kimara mwisho
[emoji2765]: Meza ya plastic ya watu sita na vita vitatu vya plastic... Vyote kwa pamoja elfu 70.
[emoji2765] .: Kabati la chips lakimoja.
[emoji2765].: Jiko la mishkaki elfu 50.
Jiko la mkaa kubwa sana... Na makarai mawili ya kukaangia... Vyote kwa pamoja elfu 50.

Kwa anaye hitaji njoo PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…