Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

𝑁𝑎𝑡𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎 ℎ𝑖𝑖 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎 𝐺ouging 𝑅od 𝑚𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑛𝑎𝑦𝑜 𝑎𝑛𝑖𝑐ℎ𝑒𝑘𝑖 𝑖𝑛𝑏𝑜𝑥

images (12).jpeg
 
Ninatoa huduma ya massage kwa akina dada/mama. Ni mobile office unaniita popote utakapo. Either full or half Tsh 30,000 for half an hour and Tsh 50,000 one hour. I am a male.

Dar.
Nice idea Bob...

Learn the tricks of the trade uwe a professional masseuse

Tumia social media vizuri, have accounts on IG, escort sites etc.
 
WADAU SALAAMU,

NAITAJI MKOPO WA HARAKA NA DHARURA KUTOKA KWA MTU BINAFI WA KIASI CHA MILLIONI 2, NITAREJESHA KWA RIBA YA 40% BAADA YA MWEZI 1.

DHAMANA:
1. GARI LANGU RAV4 NAMBA D (NITAKABIDHI CERTIFIED COPY YA KADI YA GARI)
2. BIASHARA YANGU YA BUCHA (ILIOKO BUNJU B- MABWEPANDE)
Ungekuwa dodoma ningekupa
 
Wanaohitaji nguo nzuri za mtumba grade one na premium tuonane. Duka lipo Ubungo Mawasiliano. Mikoani pia tunatuma
 
Safety Boot forsell, Size 44. Price 40,000/= TABATA KIMANGA.[emoji3513]0658111898
Mpyaaa...![emoji3067][emoji3067]
20220103_174133.jpg
20220103_174037.jpg
20220103_174148.jpg
20220103_174117.jpg
20220103_174214.jpg
 
[emoji2765] .: Habari?
[emoji2765].: Meza ya alminuam inauzwa laki moja... Ipo kimara mwisho
[emoji2765]: Meza ya plastic ya watu sita na vita vitatu vya plastic... Vyote kwa pamoja elfu 70.
[emoji2765] .: Kabati la chips lakimoja.
[emoji2765].: Jiko la mishkaki elfu 50.
Jiko la mkaa kubwa sana... Na makarai mawili ya kukaangia... Vyote kwa pamoja elfu 50.

Kwa anaye hitaji njoo PM.
IMG_20220103_173503.jpg
IMG_20220103_173923.jpg
IMG_20220103_173839.jpg
IMG_20220103_173913.jpg
IMG_20220103_173654.jpg
IMG_20220103_173524.jpg
IMG_20220103_173604.jpg
IMG_20220103_173524.jpg
IMG_20220103_173506.jpg
IMG_20220103_173503.jpg
 
Back
Top Bottom