Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Kwa mahitaji ya kudizaini logo na kuprint mabango, T-shirts, Stickers,business cards na branding materilas mbalimbali tucheki SantaPrint
Tupo ubungo-mawasiliano, Tumepakana na stendi ya daladala (simu 2000).
Contact; 0765 920 434.


Mabango
Usichukulie poa nguvu ya bango! Bango lifafanualo bidhaa/huduma zitolewazo na biashara yako lina nguvu yakuwavuta wateja ambao wangekupita. Karibu tukudizainie,print nakukuwasilishia bango lako.
Tupo ubungo-mawasiliano, Tumepakana na stendi ya daladala (simu 2000).
Contact; 0765 920 434.







T-shirt printing
.@santaPrint Tunaprint Tshirts kwa ajili ya uniform za wanafunzi/maofisini,taasisi za kiserikali na dini ,katika idadi yeyote kwa uharaka & weledi wa hali ya juu. Tuna offer free designs ukiprint nasi.
Tupo ubungo-mawasiliano, Tumepakana na stendi ya daladala (simu 2000).
Contact; 0765 920 434.





Business cards
Tunakudizainia,print na kukuwasilishia a memorable business card itayosaidia in your networking journey.
Tunadesign na kuprint Business Cards Bei ni kwa 100pieces;
  • One side 15000 kwa 100pcs
  • Two sides 25000 kwa 100pcs
  • Laminated one side 25000 kwa 100pcs
- Laminated both sides 35000 kwa 100pcs
Tupo ubungo-mawasiliano, Tumepakana na stendi ya daladala (simu 2000).
Contact; 0765 920 434.


Kuprint vikombe
Kikombe kilicho printiwa kinaweza kutumika kama branding materials ofisini au kama zawadi kwa kuweka picha ya umpendae
@SantaPrint Tunaprint vikombe kuanzia kimoja nakuendelea @ Tshs 10,000 tu(printing + kikombe)
Hakifutiki kikioshwa

Tupo ubungo-mawasiliano, Tumepakana na stendi ya daladala (simu 2000).
Contact; 0765 920 434.



Vifungashio
Ongeza public visibility na vifungashio vyenye brand yako ili mteja atembeapo ameshikilia mfuko, watu waone brand yako.
@SantaPrint tunafanya customized prints kwenye vifungashio Kama hivi na vya namna mbalimbali.
Tupo ubungo-mawasiliano, Tumepakana na stendi ya daladala (simu 2000).
Contact; 0765 920 434.



Picha mbao
High quality picture mbao zilizokuwa laminated na transparent sticker ya kung'aa katika frame ya kibao.
▪︎Hazipauki wala kuloana
▪︎Haivunjiki (imegundishwa kwenye mbao sio frame ya kioo)
A4-10k
A3-20k
A2-50k
A1-100k
Tunafanya kazi pia kwa ukaruibu na wapiga picha kwa kuwapa huduma ya kuprint picha zao.
Tupo ubungo-mawasiliano, Tumepakana na stendi ya daladala (simu 2000).
Contact; 0765 920 434.




Bronchures
Branding material:Tripod brochures Size:A4
Matumizi: kuainisha bidhaa/huduma zifanywazo na biashara au taasisi.
Ni back up nzuri utakayomuachia prospect client Kama reminder aionapo.
Tupo ubungo-mawasiliano, Tumepakana na stendi ya daladala (simu 2000).
Contact; 0765 920 434.




Picha za saa
Tunakuprintia picha yako/logo ya ofisi yako nakukuwekea artwork hiyo kwenye frame ya saa inayosoma majira. Muse:
@jokateM
Size: A3(42.0× 29.7cm)
Price:40,000Tshs
Delivery time:Siku moja.
Tupo ubungo-mawasiliano, Tumepakana na stendi ya daladala (simu 2000).
Contact; 0765 920 434.
 
Nimependa kazi zako boss
 
Niulizie carton ya torch ya betri moja kubwa kisha tufanye biashara
 
Nashkru sana kiongozi, Mungu akubariki, ngoja nifanye ulinganifu wa bei ntakapoona sehejmu yana bei nzuri ntaenda
Nna bro wangu niliongea nae juzi akaniambia mahindi kwa Kilosa sasa hivi ni 50-55 sasa sijui kwa maeneo mengine coz mvua sehemu nyingi zilichelewa ila waliopanda mapema sahizi wanavuna mkuu.
 
Anaehitaji kuku chotara aina ya kroila pamoja na mayai ya kototolesha au kula karibun...Nipo Dar Kigambon delivery ipo.

Weka bei ya kuku, weka bei ya mayai, kama kuna offer mtu akichukua idadi kadhaa au kama hakuna sema, umesema unafanya delivery ungesema kuanzia kuku wangapi au hata mmoja unapeleka sehemu yoyote aliyopo mteja kwani...?

Ukipenda kuweka namba ya simu sawa usipopenda nayo ni sawa. Kamilisha tangazo my dear...!

Kila lenye heri kwako.
 

Naomba uliza iyo mashine ya kuprint ulinunua wapi na bei gani zinapatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…