Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
Bado natafuta... Unapatikana wapi mkuu?Ushapata simu mkuu...nina Samsung S9+ gb 64
Bei: 300,000 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado natafuta... Unapatikana wapi mkuu?Ushapata simu mkuu...nina Samsung S9+ gb 64
Bei: 300,000 tu
jmn naomba msaada wa kujua maduka ya jumla ya biscuits, chocolate,pipi na toys yanapatikana wapi kwa dar
Kitanda bado kipo?Jipatie kitanda cha kukunja(camping bed)
Open size:193x78x34cm
Folden size: 91X78X15cm
Weight capacity: 150kg
Contacts:0764108259View attachment 2165769View attachment 2165771
NAUZA FENICHA ZA SALUNI (PEDICURE&MANICURE)Nahitaji vifaa vya saloon ya kike kwa bei ya used plz alienavyo anauza anichek 0783414538
Yeah kipo Kama unahitaji tuwasiliane 0764108259Kitanda bado kipo?
Kariakoo mtaa waswahili duka liko mbele ya duka la makapeti au piga simu 0655764699jmn naomba msaada wa kujua maduka ya jumla ya biscuits, chocolate,pipi na toys yanapatikana wapi kwa dar
Nina laki nne cash.NAUZA FENICHA ZA SALUNI (PEDICURE&MANICURE)
~Kuna Sofa Mbili Za Mtu mmoja mmoja (za pink) pamoja na Stuli Zake Nne
~Sofa Bench Moja La Watu Watatu (la blue)
~Meza mbili Zenye Kioo Juu, Viti Viwili Na Droo
BEI 750,000 (LAKI SABA NA ELFU HAMSINI ) kwa Vyote
maongezi yapo kidogo
NB:Vifaa Vyote vimetumika kwa miezi mitatu tu Tangu Vitengenezwe, atakayenunua Fenicha Zote Nitampa Rangi TANO Za GEL Na Material Nyingine, Inategemea Tutakavyo elewana
LOCATION Dar es Salaam kigamboni
Call
0718295182
0765505909View attachment 2191475View attachment 2191476View attachment 2191477View attachment 2191478
Boss ninashida nawewe,nahitaji kujifunza kutengeneza perfumeSawa dear.. thanks
Kwa kuku wa kienyeji nicheki Mimi hapa umefikaaaaMwenye connection wanakopatikana kuku wa kienyeji kwa ajili ya kufuga.
Wapo wengi nichekiMwenye connection wanakopatikana kuku wa kienyeji kwa ajili ya kufuga.
View attachment 2176417
View attachment 2176418
View attachment 2176419
Mosquito killer available
hiki ni kifaa cha kuulia mbu kwa kutumia umeme
0683731404
whatsapp me [emoji1666]
Anaehitaji, tangawizi, mpunga na nyanya chungu kutoka morogoro, wilaya ya kilosa,hasa dumila na mvumi, msowero, ani PM tuyajenge
Kuku ninao 0656446991
Wale wadau wa biashara ya mahindi tujuzane yalipo na bei yake ipoje?