Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Naombeni mwenye elimu juu ya ufugaju wa kuku wa kisasa wa kienyeji, wa kisasa na wa mayai anitafute kwa WhatsApp +255713549222
 
Nahitaji vifaa vya saloon ya kike kwa bei ya used plz alienavyo anauza anichek 0783414538
NAUZA FENICHA ZA SALUNI (PEDICURE&MANICURE)
~Kuna Sofa Mbili Za Mtu mmoja mmoja (za pink) pamoja na Stuli Zake Nne
~Sofa Bench Moja La Watu Watatu (la blue)
~Meza mbili Zenye Kioo Juu, Viti Viwili Na Droo

BEI 750,000 (LAKI SABA NA ELFU HAMSINI ) kwa Vyote
maongezi yapo kidogo

NB:Vifaa Vyote vimetumika kwa miezi mitatu tu Tangu Vitengenezwe, atakayenunua Fenicha Zote Nitampa Rangi TANO Za GEL Na Material Nyingine, Inategemea Tutakavyo elewana

LOCATION Dar es Salaam kigamboni
Call
0718295182
0765505909
1648365077947.jpg
20220414_123849.jpg
1645264475808.jpg
1645264475820.jpg
 
jmn naomba msaada wa kujua maduka ya jumla ya biscuits, chocolate,pipi na toys yanapatikana wapi kwa dar
Kariakoo mtaa waswahili duka liko mbele ya duka la makapeti au piga simu 0655764699
 
NAUZA FENICHA ZA SALUNI (PEDICURE&MANICURE)
~Kuna Sofa Mbili Za Mtu mmoja mmoja (za pink) pamoja na Stuli Zake Nne
~Sofa Bench Moja La Watu Watatu (la blue)
~Meza mbili Zenye Kioo Juu, Viti Viwili Na Droo

BEI 750,000 (LAKI SABA NA ELFU HAMSINI ) kwa Vyote
maongezi yapo kidogo

NB:Vifaa Vyote vimetumika kwa miezi mitatu tu Tangu Vitengenezwe, atakayenunua Fenicha Zote Nitampa Rangi TANO Za GEL Na Material Nyingine, Inategemea Tutakavyo elewana

LOCATION Dar es Salaam kigamboni
Call
0718295182
0765505909View attachment 2191475View attachment 2191476View attachment 2191477View attachment 2191478
Nina laki nne cash.
 
Wale wadau wa biashara ya mahindi tujuzane yalipo na bei yake ipoje?

Nna bro wangu niliongea nae juzi akaniambia mahindi kwa Kilosa sasa hivi ni 50-55 sasa sijui kwa maeneo mengine coz mvua sehemu nyingi zilichelewa ila waliopanda mapema sahizi wanavuna mkuu.
 
Back
Top Bottom