Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mnaohitaji Dagaa wa.kukaanga kutoka Mwanza mnicheki watsap ONLY 0744033555
 
Kazi nzuri
 
[emoji460][emoji2211]Kwa ufupi sana kuna jezi Original lakini mimi nauza Jezi Original SANA

#UziKamaJezi

Piga simu 0688938518 kupata jezi zote Kalii na Original Quality ______

Dar es Salaam free derivery [emoji736]

Mikoani tunatuma kirahisi na uhakika sana [emoji736]

Mzigo wa msimu ujao ndio unaingia hivyo! Jezi ya Manchester United na Chelsea home kits msimu ujao zina patikana hivi sasa Dukani kwetu waungwana [emoji518][emoji2089]
 
Weka bei mjomba
 

Jezi zako original unauza bei gani?

Unanunua kutoka wapi?
 
Je Upo Mjini Geita Na maeneo Jirani Na Ulikua Unatafuta wapi utapata vifaa bora na imara vya umeme Lakini Hela Yako Imepelea basi soma hapa chini

Njoo Geita Magogo center au wasiliana nasi 0769621149 0717843000

Kuhusu gharama utanipatia hela kidogo ya maji tuendelee kuishiView attachment 2231944
 
Leo bhana nimekuja kwenye jukwaa langu pebwa la.connection za biashara. Nakilicho nileta hapa niswala moja moja kama sio mawili
(A) Ni namna gani ntaweza kupata soko la.mazao ya chakula katika visiwa vya commoro
(B) Kama kuna member ambaye anafanya biashara.katika visiwa ivyo naomba tuwasikiane.kupitia +25625826352
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…