Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara


Unauzaje reja reja?
 
Naomba mwenye connection ya asali mbichi inakopatikana, bei n.k atujuze hapa
 
Mwenye machine ya kutengeneza juice ya miwa tuonane inbox
 
JAMAN NINA MILION NAHTAJ KUHAMIA MJI MWINGINE MNANISHAURI NKAFANYE BIASHARA GAN ANGALAU NIPATE KULA NA KUISHI???
 
Kwa wamiliki wa stationery, hivi sasa kuna uhaba mkubwa sana wa ream paper na bei iko juu.

Karibu ujipatie Ream kwa bei ya jumla kwa tsh 85,000/= tu (mondi) na 90,000/= (double A)

Unaweza kutumiwa popote pale nchini. Duka lipo Tarime mjini (Mara). Pia vifaa mbalimbali vya stationery vinapatikana hapo.

0753052872
 
Kila la kheri
 
Hapa sijakuelewa 90k ndo ream ngapi kwa box
 
No IPO hapo PGA tuelekeezane
Mkuu yaani kutaja bei ya bidhaa yako tena rejareja hadi tukupigie wakati humu mtu anaweza kufanya uamuzi baada ya kuona bei. Rahisisha biashara kwa kuweka bei na exact location duka lilipo ili hata mtu akijisikia kuja basi apite labda ni jirani na anapoishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…