Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

[emoji460][emoji2211]Kwa ufupi sana kuna jezi Original lakini mimi nauza Jezi Original SANA

#UziKamaJezi

Piga simu 0688938518 kupata jezi zote Kalii na Original Quality ______

Dar es Salaam free derivery [emoji736]

Mikoani tunatuma kirahisi na uhakika sana [emoji736]

Mzigo wa msimu ujao ndio unaingia hivyo! Jezi ya Manchester United na Chelsea home kits msimu ujao zina patikana hivi sasa Dukani kwetu waungwana [emoji518][emoji2089]View attachment 2229967View attachment 2229968View attachment 2229970View attachment 2229972

Unauzaje reja reja?
 
Naomba mwenye connection ya asali mbichi inakopatikana, bei n.k atujuze hapa
 
Mwenye machine ya kutengeneza juice ya miwa tuonane inbox
 
JAMAN NINA MILION NAHTAJ KUHAMIA MJI MWINGINE MNANISHAURI NKAFANYE BIASHARA GAN ANGALAU NIPATE KULA NA KUISHI???
Screenshot_20220525-175359.jpg
 
Kwa wamiliki wa stationery, hivi sasa kuna uhaba mkubwa sana wa ream paper na bei iko juu.

Karibu ujipatie Ream kwa bei ya jumla kwa tsh 85,000/= tu (mondi) na 90,000/= (double A)

Unaweza kutumiwa popote pale nchini. Duka lipo Tarime mjini (Mara). Pia vifaa mbalimbali vya stationery vinapatikana hapo.

0753052872
 
Kila la kheri

Hapa sijakuelewa 90k ndo ream ngapi kwa box
 
No IPO hapo PGA tuelekeezane
Mkuu yaani kutaja bei ya bidhaa yako tena rejareja hadi tukupigie wakati humu mtu anaweza kufanya uamuzi baada ya kuona bei. Rahisisha biashara kwa kuweka bei na exact location duka lilipo ili hata mtu akijisikia kuja basi apite labda ni jirani na anapoishi.
 
Back
Top Bottom