Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Naomba bei ya switch za socket wall z umeme. Used n mpya price
Scheider brand bei ya Switch mpya,
Niletee list ya vitu unavyotaka, DB inahitaji loading diagram.
Za china ni rahisi zaidi
 

Attachments

  • 9426DB96-4275-4E1D-BCCD-E8D442011E21.jpeg
    27.7 KB · Views: 59
Wakuu naombeni connection ya kupata wateja wa bidhaa za kupaua nyumba kama vile mabati,misumari,kofia,gata,PVC,marine board,fisher board call:0753535935/0785033500
 
Mnalipanaje?
Asije akalia mtu humu?
Kama qty ni kumbwa unaweza kusafiri nakupeleka dukani kununua mwenyewe , kama ni ndogo unarusha michuzi nakununulia.
Kulipana : Bei ya dukani + tansport/shipping charges+Ushuru wa Tz(kazi yako)+service charge
Faida: Unapata bei rahisi na kuongeza faida + unasave pesa ya kusafiri, hotel na matumizi mengine + utapata update za discounts na promotion n.k.
Zaidi ni kuongea na kufahamiana.
 
PATA SIMU KALI NA ELECTRONICS MOJAKWA MOJA TOKA USA NA CHINA KWA PUNGUZO MAALUMU
GUSA NENO ZA KISASA HAPA CHINI
⬇️⬇️⬇️
ZA KISASA
 
Habari za usiku, ni hatua gani naweza pitia ili niweze kuwa mzabuni wa vifaa vya stationary?
 
Swali..
Kwenye kurusha michuzi "nakuaminije" na hatujuani?
 
Mlipo turiani au kilosa naomba kujua bei ya mpunga kwa sasa bei gani kwa debe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…