Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ndio maana ikawekwa PM
Ushauri: ukitaka uuze bidhaa yako hapa tunaomba uwe full details.... mfano , unasema unataka bidhaa flani huweki mawasiliano then , huweki bei , hutaji Location yako just unasema tuwasiliane are you serious? ... tubadilike wanandugu
 
Anotaka kuniagiza mzigo nipo zenji hpa bei za zenji zinajulikana
Tv,baskeli, inshort chochote kile mimi nitakutafutia na uaninifu ni 100%
 
Kigari kidogo sana mkuu bora utafute pesa ununue ndinga achana na vi baby car [emoji594]
Amechagua hiyo mbona tena unampangia mteja mkuu wangu?!

Gari inaweza kuwa luxury lakini pia kitendea kazi chako kukurahisishia usafiri mjini especially kwa mtu mwenye movement nyingi muda wote.
 
IST
BEI 8.5M TU....
FULL.AC
FULL DOC
LOC; GONGOLAMBOTO
Call 0657 999 555
Next time ukiwa unauza gari usiwe unatumia tairi zenye hizo rims huwa zinaifanya gari ionekane kama mbovu.

Tafuta hata za kuazima kwa washkaji upige picha then utangaze. Mteja akija unamuelekeza kuwa rim ulianzima ila zipo kama anataka kununua.
 
Back
Top Bottom