Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Naomba konekisheni ya kupata mbolea ya kuku wa kisasa
 
Yule aliyekuwa anataka mayai ya kienyeji aje inbox na idadi ya trei pamoja na offer yake kuna chimbo nimeambiwa yanaweza kupatikana.
 
Mwenye connection na wasafirishaji au mwenye flat trucks za 40ft container au Fuso Tandam anicheki DM pls.
 
Kwa mahitaji ya nguo na Vitu mbali mbali kwa bei ya jumla pale KKOO ndugu zangu.
Embu tussuport movement. NGUO, Vyombo, Electronics.
0719100591.. kijana wangu huyu.
Asanteni.
 
Nahitaji zuria la kuoamba sebule yangu mwenye nalo ane tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…