Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuVip unapiga hizo mishe?
Naomba konekisheni kwa mtu anae dili na biashara ya madini
Upo wapiJipatie mchele super kwa 1800 tu..mali ya shamba bado mpya View attachment 2278688
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Uko pande zipi?Jipatie mchele super kwa 1800 tu..mali ya shamba bado mpya View attachment 2278688
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tanzania breweries limited kiwanda cha bia ufungue kuuza bia jumlaSijaelewa
Uko pande zipiMm nafungua duka la vinywaji (liquor store)nina mtaji kama wa 70m..issue napata wapi hizo bidhaa yaani vinywaji vikali...naombeni connection...
Sinza?Eneo la mgahawa au bar linapangishwa. Bei ni 350,000 kwa mwezi. Eneo liko ndani ya fence, kuna usalama, viti vipo. Counter na jiko vina hali nzuri. Mawasiliano 0654465446View attachment 2281882
Sinza
picha zaidi.Eneo la mgahawa au bar linapangishwa. Bei ni 350,000 kwa mwezi. Eneo liko ndani ya fence, kuna usalama, viti vipo. Counter na jiko vina hali nzuri. Mawasiliano 0654465446View attachment 2281882
Sinza ipiEneo la mgahawa au bar linapangishwa. Bei ni 350,000 kwa mwezi. Eneo liko ndani ya fence, kuna usalama, viti vipo. Counter na jiko vina hali nzuri. Mawasiliano 0654465446View attachment 2281882
Unataka kiasi gani?Wazee naomba connection ya kununua mahindi sumbawanga
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app